Alhamisi, 13 Novemba 2014

NEWZ!!!! MAUJI YATOKEA KITETO

Hali ni ya wasiwasi kufuatia mauaji ya watu kadhaa
katika wilaya ya Kiteto nchini Tanzania baada ya
wafugaji na wakulima kushambuliana na kuwajeruhi
zaidi ya watu 10. Kulingana na Kamanda wa jeshi la
polisi katika mkoa wa Manyara Deusdedit Nsimeki
hadi sasa wamewakamata watu watano
wanaoshukiwa kuchochea mgogoro huo huku
uchunguzi zaidi ukifanyika.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni