Jumanne, 2 Desemba 2014

mwanafunzi aliyekuwa ana nadi ubikra akoma



Mwanafunzi aliyekua ana nadi ubikra akoma

Mwanafunzi anayesomea udaktari nchini Marekani ambaye alikuwa ana nadi ubikra wake, amesitisha shughuli hiyo baada ya watu wachache sana kujitokeza wakiwa tayari kuulipia ubikra wa mwanamke huyo.

Pamoja na hilo Kern hakua na uhakika kuhusu ukweli wa waliojitokeza kulipia ubikra wake.

Taarifa hii ni kwa mujibu wa jarida la Dily Mail.

Mwanafunzi huyo, Hanna Kern alikuwa ananadi ubikra wake chini ya jina ambalo sio lake 'Elizabeth Raine'.

Kern ana umri wa miaka 28 na ana digrii ya uzamifu katika chuo kikuu cha Washington, nchinbi Marekani.

Jarida lengine la Huffington Post, amejitambulisha kwa jina analojulikana nalo.

Kern anakuwa mwanafunzi wa hivi karibuni aliyenadi ubikra wake kwenye mtandao ambao amelazimika kuusitisha baada ya kukosa kupata kima alichokitaka na hata pia kukosa kupata wanaume wengi waliovutiwa na kampeini yake na kufia kuwa laiojitokeza sio watu wakweli.

Alikuliwa akisema baada ya kukosa kufanikiwa, amapeta funzo na kujua kwa nini kampeini kama hizi huwa kazifanikiwi.

Wa mwisho aliyejitokeza kulipia ubikra wake alikuwa ametoa kima cha dola 801,000,lakini mwanafunzi huyo aliamua kutoendelea na juhudi zake kwani hakufurahishwa na pesa hizo.

''Nimeamua kusitisha kempeini yangu, na kurejea katika msomo yangu ya udaktari.''

''Bado ninaamini kuwa ubikra ni kitu kizuru na pia ninaamini kuwa mwanamke anapaswa kuachwa afanye anavyotaka, '' ingawa kwa sasa masomo ndio ninayotaka kushughulika nayo kwa sasa,'' alisema Kern.

News
Nyumbani
ENG | KIS © Tigo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni