Jumamosi, 18 Aprili 2015

ALICHOKISEMA ZITTO KUHUSU GAZETI LA TAIFA IMARA

Katika gazeti la Taifa Imara la tarehe 23 Machi 2015 kulikuwa na habari yenye kichwa cha maneno ' Zitto amchongea Mengi kwa JK?' Habari hiyo ilibeba maudhui ya 'post' iliyoandikwa katika mtandao wa Mwanahalisi online. Habari hiyo inaonyesha kuwa Mimi nilikutana na Rais kwa msaada wa watu mbalimbali na katika kikao hicho inadaiwa nilisema kuwa Mengi ndiye aliyechochea wabunge kuishughikia Serikali ya Rais Kikwete ili ianguke. Ni vema ifahamike kuwa gazeti la Taifa Imara linamilikiwa na Bwana James Rugemalira wa kashfa ya Escrow na kuendeshwa na Bwana Prince Bagenda aliye organise press conference ya mmoja wa mawaziri waliofukuzwa kazi kwa kashfa hiyo. Vile vile chanzo cha habari hiyo ni mtandao wa mwanahalisi online ambao unaendeshwa mmiliki wa Mawio gazeti ambalo kila wiki lina habari za kutunga dhidi yangu na chama cha ACT Wazalendo. Habari hiyo ni ya kutunga yenye fitna zenye lengo la kuchonganisha watu. Naomba kufafanua ifuatavyo 1 Taarifa Maalumu ya Kamati ya PAC kuhusu ufisadi wa tshs 306 bilioni za Escrow hauhusiki na Bwana Reginald Mengi kwa namna yeyote ile. Mengi sio mbunge, sio mjumbe wa PAC na hakushawishi PAC kwa namna yeyote ile. Wezi wa Escrow wasitapetape kutafuta mchawi wakati mchawi ni wizi wao wenyewe. Porojo za kwamba Mengi alihonga wabunge ili kuishughulikia Serikali zinabaki porojo tu. Ila kama kuna mtu ana chembe ya ushahidi wa jambo hilo apeleke kwenye vyombo vya dola kwa hatua kuliko kurudia rudia porojo hizo kwenye vyombo vya habari. 2 Sihitaji kutumia watu ili kukutana na Rais Jakaya Kikwete kwani ninaweza kukutana naye kwa taratibu za kawaida kabisa za kiserikali. Hadithi ya kwamba nimeomba watu wanikutanishe na Rais inaonyesha namna mwandishi alivyoshindwa kutunga uongo wake. Katika kukutana kwangu na Rais kikazi sijawahi hata mara moja kuzungumzia watu. Hivyo kusema nilikwenda Ikulu kumzungumzia Bwana Mengi ni kunidharau na kuidhalilisha Taasisi ya Urais. 3 Nimemwelekeza mwanasheria wangu achukue hatua za kisheria dhidi ya Gazeti la Taifa Imara na vilevile Gazeti la Mawio kwa mfululizo wa habari za kutunga uongo dhidi yangu kila kukicha. Nimeagiza tupeleke mashtaka kwenda Baraza la Habari Tanzania ili magazeti hayo yathibitishe habari zao. Zitto Kabwe Kiongozi wa ACT Wazalendo

Alhamisi, 9 Aprili 2015

This is a list of Universities and University Colleges in Tanzania . The country has 26 universities (10 public and 16 private) and 15 University Colleges (4 public and 11 private). [1] Universities and University Colleges are regulated by the Tanzania Commission for Universities. Public Universities Reg. No. Institution Acronym Founded Universit status 001 University of Dar es Salaam UDSM 1961 1970 002 Sokoine University of Agriculture SUA 1965 1984 003 The Open University of Tanzania OUT 1992 1992 004 Ardhi University AU 1956 2007 010 State University of Zanzibar SUZA 1999 1999 011 Mzumbe University MU 1975 2001 015 Muhimbili University of Health and Allied Sciences MUHAS 1963 2007 016 Nelson Mandela African Institute of Science and Technology NM– AIST 2009 2010 019 University of Dodoma UDOM 2007 2007 025 Katavi University of Agriculture KUA 026 Mbeya University of Science and Technology MUST 1986 2012/13 Private Universities Reg. No. Institution Acronym Founded Affiliati 005 Hubert Kairuki Memorial University HKMU 1997 MMHE 006 International Medical and Technological University IMTU 1997 VEF 007 Tumaini University Makumira TUMA 1997 Luther 008 St. Augustine University of Tanzania SAUT 2002 Catholi 009 Zanzibar University ZU 2002 Islamic 012 Mount Meru University MMU 2005 Baptist 013 University of Arusha UoA 2006 Sevent day Advent 014 Teofilo Kisanji University TEKU 2007 Moravi 017 Muslim University of Morogoro MUM 2004 Islamic 018 St. John's University of Tanzania SJUT 2007 Anglica 020 University of Bagamoyo UB 2010 TANLE and LHRC 021 Eckernforde Tanga University ETU 2010 022 Catholic University of Health and Allied Sciences CUHAS 1994 Catholi 023 St. Joseph University In Tanzania SJUIT 2011 Catholi 024 United African University of Tanzania UAUT 2012 Korea Church Missio 027 Sebastian Kolowa Memorial University SEKOMU 2012 Luther 028 Tanzania International University TIU Public University Colleges Reg. No. Institution Acronym Founded Regio 001 University College of Education Zanzibar UCEZ 1999 Zanzib Urban 002 Dar es Salaam University College of Education DUCE 2005 Dar es Salaam 003 Moshi University College of Cooperative and Business Studies MUCCOBS 2003 Kiliman 004 Mkwawa University College of Education MUCE 2003 Iringa Private University Colleges Reg. No. Institution Acronym Founded Re 005 Kampala International University Dar es Salaam College KIU-DAR 2008 Dar Sala 006 Mwenge University College of Education MWUCE 2003 Kili 007 Kilimanjaro Christian Medical College KCMCo 2003 Kili 008 Ruaha University College RUCO 2006 Iring 009 St. Francis University College of Health and Allied Sciences SFUCHAS 2010 Mor 010 St. Joseph University College of Agricultural Sciences and Technology SJUCAST 2000 Ruv 011 St. Joseph University College of Information and Technology SJUCIT 2000 Ruv 012 St. Joseph University College of Management and Commerce SJUCMC 2000 Njo 013 Stefano Moshi Memorial University College SMMUCO 2002 Kili 016 Stella Maris Mtwara University College STEMMUCO 2009 Mtw 015 Tumaini University Dar es Salaam College STURDACO 2005 Dar Sala See also