vyama vya siasa vinavyounda UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI(UKAWA)yaani CUF,CHADEMA,NCCR-Mageuzi,TLP na vingine vimesaini mkataba wa makubaliano katika uwanja wa jwngwani hapa jijini DAR ES SALAAM ambapo mamia ya wanachama wa vyama hivyo walishuhudia
stori by ERNEST RENATUS

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni