Jumapili, 9 Novemba 2014

MSIBA WA MWANAMZIKI WA TWANGA PEPETA

Mwanamuziki Mkongwe kutoka bendi ya muziki wa
dansi ya Twanga Pepeta,pichani kulia enzi za uhai
wake akiwa kazini,ajulikanae kwa jina la Amigolas
amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo,katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar.
Taarifa za awali ambazo chumba cha habari cha
Globu ya Jamii imezipata kutoka kwa vyanzo vya
kuaminika,zinaeleza kuwa Marehemu Amigolas
alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya Moyo mpaka
kufariki kwake.
Tutaendelea kupeana taarifa zaidi kuhusiana na
msiba huu kwa...

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni