Ijumaa, 30 Mei 2014

KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2014 NCHINI BRAZIL

Nchi ya Brazil ndiyo iliyopewa dhamana ya kuandaa Kombe la Dunia la FIFA kwa mwaka 2014. Hiyo itakuwa ni mara ya 20 kwa fainali hizo kufanyika na itakuwa ni mara ya pili kwa taifa la Brazil kuandaa fainali hizo.Mara ya kwanza ilikuwa mwaka 1950. Hii ni mara ya kwanza kwa fainali hizo kufanyikia katika bara la Amerika Kusini tangu zilipofanyikia huko mwaka 1978. Jumla ya miji 12 itakuwa na kipute hicho huku fainali zikifanyikia katika uwanja maarufu wa Maracana uliopo katika jiji la Rio de Janeiro. Uwanja huo ulifunguliwa rasmi mwaka 1950 wakati Brazil ilipoandaa mashindano hayo. The 20th FIFA World Cup will be hosted in Brazil in June and July 2014. It is the second time that the country has hosted the event – the first being in 1950 – and it is the first time that it has been held in South America since 1978. There are 12 cities that will host games, while the final will be played at the Maracana Stadium, in the city of Rio de Janeiro – a stadium that was inaugurated in 1950. The cities are: * Sao Paulo * Rio de Janeiro * Belo Horizonte * Porto Alegre * Brasilia * Cuiaba * Curitiba * Fortaleza * Manaus * Natal * Recife * Salvador

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni